Wakuu huwa najaribu kutafakari kwa makini lakini nashindwa kupata jibu,
kwa mujibu wa wataalamu wetu ni kuwa kufanyiwa Tohara kunapunguza
maambukizi ya UKIMWI nataka kujua kivipi wakati ile ngozi ya ndani ni laini
zaidi kuliko hii ya nje?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.