Nimefuatilia sana wanaopinga tohara kwa Wanawake, lakini wanataja hasara tu.Faida nilizosikia kwa kuwahoji makabila yanayokeketa Wanawake ni haya yafuatayo:-
1. Kuzuia U.T.I kwa watoto wa Kike.
2. Kupunguza msuguano wa uke na hivyo kupunguza ashki ya kingono kwa Msichana.
3. Kuzuia uhuni/umalaya kwa Wasichana/Wanawake.
4. Kumuweka Msichana katika hali ya utuuzima.
5. Kumfanya mwanamke atulie katika Ndoa.
Wana JF haya niliyosikia ni ya kweli katika hali halisi ya maisha?

Kama ni kuharibu maumbile mbona wanaume wanatahiriwa na watu wanatoga sehemu za mwili kuweka eleni.Halafu Bibi zetu wametulia enzi zao kwa ajili ya Tohara,ulizeni jamii zinazotairi wanawake mtasikia.Baada ya harakati za kupinga tohara kwa Wanawake sasa jamii imeharibika.
. Kuzuia uhuni/umalaya kwa Wasichana/Wanawake.
Tohara ina faida. Ni alama wazi inayoonesha:
a. Mtu kutoka kwenye utoto na kuingia utu uzima. It is a visible sign of the rite of passage from childhood to adulthood. Bila alama hiyo ya kuonekana bado mtu haonekani kama amekua
b. Inamwonesha mtahiriwa kuwa maisha si lelemama. Ni magumu. Yabidi kuvumilia shida za maisha. Kumbe tohara ni kipimo cha ujasiri wa mtu. Ndo maana mwenye kutahiriwa hapaswi kulia kwa maumivu. Akilia daima watu wa rika lake watamcheka daima kwamba ni mwoga. Hawezi ku-face maisha
c. Tohara inapunguza hamu ya mwanamke kufanya mapenzi. It seems to be negative. Lakini kwa kweli ukavu huu ni mtihani kwa kina baba. Kumbe lengo pia ni kupima kama kina baba wanaweza kuwavuta taratibu kwa ubingwa wao katika masuala ya tendo la ndoa mpaka wakawaweka katika hali ya hamu ya kufanya mapenzi. Kumbe mwanaume anayefaulu hilo anaokena pia ni mkomavu. Tohara ni kipimo cha ujuzi wa mwanaume anayemjamii mwanamke aliye tahiriwa
d. Tohara -wanasema sina uhakika - wanasema inampunguzia mwanamke uchafu fulani katika sehemu zake. Katika jamii fulani hicho kitu kinachokatwa wanajamii wanakiita "takataka". Kumbe kinapoondolewa inaonekana ni kumweka mwanamke katika usafi kwa kiwango kikubwa
e. Tohara inamfanya mwanamke aolewe kiurahisi na wanaume wanaopenda wanawake waliotahiriwa. Bila kutahiriwa "amekula wa chuya".
Pole yao hao wanaume hawajui kitu. Mbona wenzao wanawafikisha "Kibo peak"? Mtihani mgumu, eti? Eee, ndo kukomaa huko. Unajifunza kwenda mwendo wa kobe. Mtafika tu!duu hii kali, mana kuna mdada mrembo sana 2po nae ofcn, na kila mwanaume akija ofcn anavutiwa nae, lakini wakitoka kwa muda mkaka anakimbia mazima, kuna cku akanielezea shida yake kwamba wanamimba coz ametahiriwa na wengine ni kutoka kwnye mkoa aliotokea huyo mdada huko singida, sasa nikickia unasema wanalewa kirahic nachoka kabisa, ninavyojua mwanamke alietahiriwa hana mccmuko wowote na mwanaume anaelala nae ha enjoy lolote.
Kile kinachokatwa ni kama kidole ndicho kinachihifadhi uchafu hivyo kikikatwa kinakuwa safi kama mwanaume anapoondolewa govi.Hali kadhalika kile kidole ndicho kinachosababisha uhuni kwa wasichana.Sioni ni kwa vipi tohara inaweza kuzuia UTI (Urinary Tract infection)!
Nakubaliana na wewe kwamba kampeni nyingi zimelenga kuondoa mila hizi 'potofu' bila kuangalia namna ya kuretain faida zake au kutafuta mbadala ambao utawezesha jamii zinazohusika kufikia malengo yao.
Kama lengo la tohara lilikuwa kumfanya mwanamke atulie (na kweli alikuwa 'anatulia'!), tunaposema sasa tohara marufuku, tunafanya nini kuendelea kumsaidia mwanamke atulie? Nadhani hapo ndio kwenye tatizo: mzungu akisema hii ni potofu, waafrika tunabeba 'wholesale' bila hata kuchekecha!
Nimefuatilia sana wanaopinga tohara kwa Wanawake, lakini wanataja hasara tu.Faida nilizosikia kwa kuwahoji makabila yanayokeketa Wanawake ni haya yafuatayo:-
1. Kuzuia U.T.I kwa watoto wa Kike.
2. Kupunguza msuguano wa uke na hivyo kupunguza ashki ya kingono kwa Msichana.
3. Kuzuia uhuni/umalaya kwa Wasichana/Wanawake.
4. Kumuweka Msichana katika hali ya utuuzima.
5. Kumfanya mwanamke atulie katika Ndoa.
Wana JF haya niliyosikia ni ya kweli katika hali halisi ya maisha?
Kile kinachokatwa ni kama kidole ndicho kinachihifadhi uchafu hivyo kikikatwa kinakuwa safi kama mwanaume anapoondolewa govi.Hali kadhalika kile kidole ndicho kinachosababisha uhuni kwa wasichana.