Tohara kwa watoto!

Straight corner

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2010
Posts
385
Reaction score
132
Wana JF poleni na majukum!
1. Naomba kufahamishwa ni umri gani mzuri kwa mtoto kufanyiwa tohara?
2. Ni hospitali gani kuna dactari mzuri kwa kutoa huduma hii?
3. Inaweza kugharimu kiasi gani.

Natanguliza shukurani zangu wakuu kwani katika sehemu sitaki kukosea ni hapa, naamini wengi mnafahamu unyeti wa suala hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…