Tohara na UKIMWI

Ndizi ikimenywa inaleta raha sana, hao waliomenywa kwa nguvu wataona faida yake hapo baadae.

Siyo kweli hapo kwenye red!! Gov likiondolewa sensitivity ya kichwa inapungua, kwa hiyo mwanaume haoni utamu kama anavyoona ambaye ana ganda. Kazi ya ganda ni ku-maintain sensitivity ya kichwa (glans penis) kwa kukikinga na friction ya nguo, kwa mfano. Kwa mwenye ganda kichwa kinapata friction wakati wa tendo tu, kwa hiyo mwenye ganda anasikia utamu sana wakati wa ku-du.

Kama mnavyojua, utamu wa tendo unachangiwa kwa kiasi kikubwa na friction. Kwa vile mwenye ganda anasikia utamu, ana-du vizuri sana kuliko asiye na ganda. Kwa vile ana-du vizuri, dada anaridhika zaidi kuliko ange-duiwa na asiye na ganda. Waulize wadada walioonja aina zote mbili!!
 
Mh condom zimeshindwa,ABC nayo imeshindwa !sasa ni kutahiri .....lakini yote kumi ngono zembe ...yaelekea tumeshindwa vita sasa.

Tumeshindwa kama serikali ya ccm ilivyoshindwa
 
Uwe unasoma scientific results then utachoose cha kuamini..!!
 
Wamekwambia inapunguza ila haimalizi kabisa kwa sababu nanii iliyotahiriwa ikitumika katika mazingira ambayo ni salama uwezekano wa kuchubuka ni mdogo.

Tendo la ndoa linahusisha mambo mengi sio to direct contact ya na nii zile bali hata mambo mengine mengi ambayo yanaweza kusababisha maambukizi kama hayakufanywa kwa uangalifu mfano.

Pamoja na kuwa mwanaume ametahiriwa lakini anapaswa kuhakikisha kuwa hana vidonda sehemu za siri vinavyotokana na after shave, ahakikishe hana michupuko mdomoni au sehemu nyinyine ya mwili iayoweza kupelekea damu yake na mwenziye havigisani
 
natoka nje ya mada......


Please please wanaume mkatahiriwe jamani, iliyokatwa inanoga kunako sita kwa sita.....loh
 
Kwahiyo mkuu we una mkono wa sweta? Kama unao katoe, watoto wapwani wata kucheka ww!
 

Nashauri iitwe "Operesheni Tokomeza Magovi Nchini!!" Nna wasiwasi hii ndo itaondoka na mawaziri wengi zaidi maana dushelele nyingi zitapewa vilema vya kudumu ikizingatiwa kwamba kumkata kwa nguvu mtu anayestruggle kujitoa lazima ukosee tu. Haya twaisubiri!
 
Mungu ndo kaniumba. Kama yeye alikua mjinga .nitatahiri. Kama hakua mjinga cjatahiri ng'oo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…