Mkuu aisherjs Nenda Hospitali ya Taifa ya muhimbili unaweza kutahiriwa na kumtahiri mtoto mdogo hakuan madhara yoyote yale.Wana JF nilikua nauliza ni hospital gan hapa dar ni nzuri kutahiri mtoto wa kiume na cost zake zikoje, na je kutahiri mtoto akiwa mdogo huleta madhara yoyote kiafya?
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Mkuu aisherjs Nenda Hospitali ya Taifa ya muhimbili unaweza kutahiriwa na kumtahiri mtoto mdogo hakuan madhara yoyote yale.
Huenda hajakatwa je wewe umeshakatwa tohara?Kwani na yeye hajakatwa?
Huenda hajakatwa je wewe umeshakatwa tohara?
kakatwe Tohara hakuna dawa ya kunywa kuondosha hilo Govi.Bado sijakatwa aisee inakuaje hakuna dawa ya kunywa?