toilet paper!!!

eRRy

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2009
Posts
1,126
Reaction score
206
Jamaa mmoja toka bush alienda mjini kutembea ukweni.
baada ya kufikapo akapewa vyakula vya aina mbalimbali including vile asivyovifahamu!
baadaye akashikwa na haja,alipoomba kwenda restroom akaambiwa na ma mkwe wake:" Subiri kwanza tukupe Toilet paper ndo uende ku choo."kwa vile alikuwa ameshiba akasema(huku akidhani toilet paper ni chakula);" OOh samahanini saaana, hiyo toilet paper niwekeeni nitaila kesho maana nimeshiba saana." Ma mkwe akabaki ameshangaaa!!
 
Huyu m-bush mi c mshangai coz toilet pepa si sio utamadun we2.
Sisi tumekua tukitumia maji.
 
Huyu m-bush mi c mshangai coz toilet pepa si sio utamadun we2.
Sisi tumekua tukitumia maji.

Na majani..kwetu kuna majani fulani mazuri sana kushinda toilet paper!
 

sasa mshamba nani hapa? aliyetoka bush au anayeishi mjini? Kwanini toilet paper zisikae restroom?
 


Hha ahaha ahaha ahahaa a a a a, duh bado tuna mwendo mrefu. Niwekee hiyo toilet paper nitaila kesho, lol.

Hivi toilet paper kwa Kiswahili ni nini vile?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…