mazongera
Member
- Jan 17, 2015
- 66
- 80
Ni dereva wa malori ya mchanga. Ni takribani siku kumi na moja zimepita tangu kutokewa na hili janga. Kwa mujibu wa maelezo yake, baada ya kutoka kwenye mishe zake moja kwa moja alirejea nyumbani bukheri wa afya.
Usiku wakati yupo kwenye mapumziko na mwenza wake,ndipo tatizo lilipomuanzia. Ni baada tu ya kutoka kustarehe na mwenza wake, mnara tangu usome 5G umeendelea kuwa hivyo hadi leo hii.
Pamoja na hilo,jitihada mbalimbali za kawaida zimefanyika kuweza kumnusuru na hali hiyo ikiwemo kumpa fursa ya kufunguka yeye mwenyewe kama kuna sehemu yoyote alipita tofauti na mwenza wake ila jamaa anakomaa na kusimamia kauli yake ya kuwa imemtokea hivyo akiwa faragha na mwenza wake.
Mpaka sasa jitihada mbalimbali zinaendelea kufanyika kwa jamaa huyo bila mafanikio. Jamiiforums ni sehemu pekee yenye kila aina ya watu. Maoni,ushauri, pia uzoefu wenu katika masuala mbalimbali katika jamii yamekuwa msaada mkubwa.
Je ni kweli kuwa jamaa tatizo lake limetokana baada tu ya kutoka faragha na mwenzi wake au kuna kitu kipo nyuma ya pazia hataki kuweka wazi?