I LOVE GIRLS JF-Expert Member Joined Nov 17, 2020 Posts 857 Reaction score 1,323 Apr 9, 2022 #21 Mbegu Jr said: Kubeti kumepunguza kwa kiasi kikubwa cha mahaba kwenye mpira halisi Click to expand... Ki vipi?
Mbegu Jr said: Kubeti kumepunguza kwa kiasi kikubwa cha mahaba kwenye mpira halisi Click to expand... Ki vipi?
Kichogo JF-Expert Member Joined Jun 10, 2016 Posts 2,094 Reaction score 3,218 Apr 9, 2022 #22 Mashabiki wamechi zaulaya wamepungua sana kwaukanda huu nahii nikutokana nakuporomoka viwango vyaubora timu pendwa za man u na arsenal mtu kutoa pesa kuiangalia man city anaona nimatumiz mabaya yapesa yake
Mashabiki wamechi zaulaya wamepungua sana kwaukanda huu nahii nikutokana nakuporomoka viwango vyaubora timu pendwa za man u na arsenal mtu kutoa pesa kuiangalia man city anaona nimatumiz mabaya yapesa yake
R rodrick alexander JF-Expert Member Joined Feb 12, 2012 Posts 16,784 Reaction score 23,312 Apr 10, 2022 #23 Hivi vithread vinaanzishwa kujifariji baada ya simba kuingia robo fainali
Greatest Of All Time JF-Expert Member Joined Jan 1, 2017 Posts 23,620 Reaction score 52,790 Apr 10, 2022 #24 Huu ndio ukweriii, na razima niwaambie ukweri ndugu zangu.