Toka Dunia iumbwe kwanini Simba hajawahi mfunga Yanga kila wanapokutana tarehe 8?

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Amani iwe nanyi watumishi

Kumbukumbu zangu zimenipeleka mbali sana

Lakin hasa nikiikumba yanga mbovu kabisa iliyokutana na Simba imara kabisa iliyosheheni kila kitu

Hapo nakumbuka mwaka 2020 mwezi wa 3 tarehe 8 Simba alilia sana baada kupigwa moja bila na Yanga unga unga gori la Bernad Morrison

Tarehe hiyo hiyo mwezi huo huo imejirudia tena baada ya miaka 6

LONDON BOY
 
Tafuta data. 8/3/2015 Simba alishinda 1 -0 dhidi ya Yanga, bao likifungwa na Emmanuel Okwi. Ni mara mbili pekee wamekutana tareh 8/3 na kila timu imeshinda mara moja (1-0).
 
Yanga hajawahi mfunga simba jumapili
 
Hapo nakumbuka mwaka 2020 mwezi wa 3 tarehe 8 Simba alilia sana baada kupigwa moja bila na Yanga unga unga gori la Bernad Morrison

Tarehe hiyo hiyo mwezi huo huo imejirudia tena baada ya miaka 6
Unaishi Gambosh.....
 

UNAUHAKIKA NA UNACHO KISEMA?????

usizungumze bila kuwa na Tafiti
Utaonekana Mropokaji, mkurupukaji.

Jf members hatupo tayari kuvumilia UONGO.
 
Naona Mmeanza kuchanganyikiwa 2020 mpaka 2025 ni miaka 6 si ndio?

Mtasema tu ulipitia mlango gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…