wakimataifa.
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 1,625
- 558
Sawa ndio mwenyetimuMuhitimu wa PHD YA MAJUNGU
Aliyekuelewa naomba anisaidie kunifafanulia una maana gani, maana Mimi nimetoka kapa..Toka hafidhi awepo pale yanga
Mechi zote za yanga za mwisho yanga na azam
Yanga hajawahi kumfunga azam na si goli moja zaidi ya mbili na tulisha waambia viongozi na tunapata taarifa hushawishiwa na huwaghalibu baadhi ya wachezaji
Na lengo la azam aweke rekodi kumfunga yanga ila kuna vijitu vijinga humfanya hafidhi ndio mwenye yanga mashsbiki ndio watumwa wa yanga
Aliyekuelewa naomba anisaidie kunifafanulia una maana gani, maana Mimi nimetoka kapa..