Asante mme wangu
Member
- May 12, 2020
- 8
- 10
Mimi ninamiaka 35 nakaa kwa mjomba wangu , sifanyi kazi na sihitaji kazi , mwanzo kabla la hili gonjwa hatari msosi ulikuwa unapikwa mwingi na nilikuwa nashiba.
Lakini gafla bini vuu hali imebadilika msosi umepunzwa kutoka kilo hadi nusu , hali hii inanipelekea mm kutoshiba na nashindwa kufurahia maisha ya kwa mjomba kabisa . nifanyaje jamani?
Sent using Jamii Forums mobile app