Asante mme wangu
Member
- May 12, 2020
- 8
- 10
Mimi ninamiaka 35 nakaa kwa mjomba wangu , sifanyi kazi na sihitaji kazi , mwanzo kabla la hili gonjwa hatari msosi ulikuwa unapikwa mwingi na nilikuwa nashiba , lakin gafla bini vuu hali imebadilika msosi umepunzwa kutoka kilo hadi nusu , hali hii inanipelekea mm kutoshiba na nashindwa kufurahia maisha ya kwa mjomba kabisa . nifanyaje jamani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Pumbavuu , nashauri mjomba wako azidi kupunguza ratio kutoka nusu mpaka roboMimi ninamiaka 35 nakaa kwa mjomba wangu , sifanyi kazi na sihitaji kazi , mwanzo kabla la hili gonjwa hatari msosi ulikuwa unapikwa mwingi na nilikuwa nashiba , lakin gafla bini vuu hali imebadilika msosi umepunzwa kutoka kilo hadi nusu , hali hii inanipelekea mm kutoshiba na nashindwa kufurahia maisha ya kwa mjomba kabisa . nifanyaje jamani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Don't sit back and take what it comes go after what you want.Mimi ninamiaka 35 nakaa kwa mjomba wangu , sifanyi kazi na sihitaji kazi , mwanzo kabla la hili gonjwa hatari msosi ulikuwa unapikwa mwingi na nilikuwa nashiba , lakin gafla bini vuu hali imebadilika msosi umepunzwa kutoka kilo hadi nusu , hali hii inanipelekea mm kutoshiba na nashindwa kufurahia maisha ya kwa mjomba kabisa . nifanyaje jamani?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Naona umeleta tatizo lako kwenye kamati ya masimango!!
Hii ndo jf soma komenti utajionea tu..[emoji28]
Mimi ninamiaka 35 nakaa kwa mjomba wangu , sifanyi kazi na sihitaji kazi , mwanzo kabla la hili gonjwa hatari msosi ulikuwa unapikwa mwingi na nilikuwa nashiba , lakin gafla bini vuu hali imebadilika msosi umepunzwa kutoka kilo hadi nusu , hali hii inanipelekea mm kutoshiba na nashindwa kufurahia maisha ya kwa mjomba kabisa . nifanyaje jamani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhani kama upo serious, kwanini hutaki kazi sasa au wewe niki wa pili unatuchora tuu!Mimi ninamiaka 35 nakaa kwa mjomba wangu , sifanyi kazi na sihitaji kazi , mwanzo kabla la hili gonjwa hatari msosi ulikuwa unapikwa mwingi na nilikuwa nashiba , lakin gafla bini vuu hali imebadilika msosi umepunzwa kutoka kilo hadi nusu , hali hii inanipelekea mm kutoshiba na nashindwa kufurahia maisha ya kwa mjomba kabisa . nifanyaje jamani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee tuheshimiane tafadhali , hujalazimishwa kunishauri , usiniite shoga tafadhali nipo chin ya miguu yako nakuomba ufute comment yako .
Mkuu unamaanisha huyu jamaa amecopy hadithi sehemu ili apate comments nyingi sio!ungetoa credit kwa jambo na vijambo ingekuwa poa.
To go where brother, I am happy when I will be to my uncle , but the problem is the ratio of food is decrease .