Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Yupo wapi sijamuona muda sanaKuna jamaa wa "Rubbish!".
Nadhani ni The List.
Ninae huku kwa malkia tayari,wewe endelea tu kumsubiri mkuu.😛😛Kama mimi kwako nina umuhimu hatari... bbade kapotea naona ulishanipiku
Kapotea kwa muda, sijamwona pia.
Nakazia Kaka huwa anamwaga Madini sana yule rafiki wa mie.Numbisa
kule jukwaa la kupeana Likes
Daah poa mwana acha niangalie utaratibu mwingine.Ninae huku kwa malkia tayari,wewe endelea tu kumsubiri mkuu.😛😛
ninja wangu huyo now day's kapoteaKuna jamaa wa "Rubbish!".
Nadhani ni The List.
Nakazia Kaka huwa anamwaga Madini sana yule rafiki wa mie.
Numbisa. [emoji122] [emoji122]
Sent using Jamii Forums mobile app
Zidi kukaribia rafiki. Tubarikiwe wote kila uchwao rafiki.Shukran my hajar,best angu wa faida usienichoka. Be blessed
Zidi kukaribia rafiki. Tubarikiwe wote kila uchwao rafiki.
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]