Toka mkataba wa kijambazi wa DP World uanze sijawasikia Hawa makamarada

Desprospero

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
1,015
Reaction score
2,493
Toka sakata hili lianze sijasikia kauli thabiti kutoka kwa Mzee Philip Mangula na Abdulhaman Kinana. Kwenye mambo kama haya kauli za wazee ni muhimu sana. Hata David Cleopas Msuya. Kulikoni?
 
"CCM ni ili ile tumejipanga mwaka huu wataisoma" in Komba's voice
 
Toka sakata hili lianze sijasikia kauli thabiti kutoka kwa Mzee Philip Mangula na Abdulhaman Kinana. Kwenye mambo kama haya kauli za wazee ni muhimu sana. Hata David Cleopas Msuya. Kulikoni?
Hao wazee sio wa mhimu
 
Toka sakata hili lianze sijasikia kauli thabiti kutoka kwa Mzee Philip Mangula na Abdulhaman Kinana. Kwenye mambo kama haya kauli za wazee ni muhimu sana. Hata David Cleopas Msuya. Kulikoni?

Tafuta pesa
 
Wazee hawawezi kuwa wapumbavu kiasi hicho ndio maana unaona wamemwachia zigo lake huyo mpuuzi afe nalo... Na matahira yake kina FaizaFoxy
 
Kinana ndiyo dalali wakuwaleta waarabu na Alshababu
 
Siyo Magufuli? maana ukiisoma ile IGA kuna MoU ilianzia 2020, kulikuwa kuna Kinana au Bashiru 2020?
Mnapenda kujustifu uovu Kwa kusibgizia magufuri..Magufuri aiyakataa ndo maana akauawa
 
Mkataba gani una kuingia tu lakini hakuna namna ya kutoka!! Mwekezaji hataji anawekeza sh ngapi!!
 
Toka sakata hili lianze sijasikia kauli thabiti kutoka kwa Mzee Philip Mangula na Abdulhaman Kinana. Kwenye mambo kama haya kauli za wazee ni muhimu sana. Hata David Cleopas Msuya. Kulikoni?
[emoji3166]
Screenshot_20230704-224829_1688500140704.jpg
 
Subiri muisrael aje sijui kama kelele hizi zitakuwepo 😄 taifa teule 😄 kwamba bandari itapata baraka kwa myahudi 😄 sio?
 
Back
Top Bottom