Toka mtandaoni: Madhara ya sigara na ugoro

Toka mtandaoni: Madhara ya sigara na ugoro

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
[emoji1593]Wataalamu wa matibabu wanaonya kuwa kutibu madhara ya sumu hii huhitaji teknolojia ambayo ni ghali mno na kuwa sio nchi nyingi zina
uwezo wa kuyatibu.

[emoji1593]Kwa hiyo ukipata sumu hii ameugua, itabidi tu ajitayarishe kupoteza maisha.

[emoji1593]Dkt Gakunju anaongeza kuwa jani moja la mmea wa tumbaku hapa nchini limefanyiwa utafiti na kubainika kuwa huwa lina sumu hii kwa kiwango
cha asilimia 15.

[emoji1593]Jiulize ukitumia ugoro au sigara unakuwa umetumia majani mangapi?

TULINDE AFYA ZETU DHIDI YA SUMU HII. ACHANA SIGARA NA UGORO.

*MADHARA UGORO*
[emoji1593]magonjwa ya moyo
[emoji1593]kansa ya koo
[emoji1593]kansa ya Mapafu
[emoji1593]kifua kikuu
[emoji1593]matatizo ya meno
[emoji1593]kuharibu mifupa
[emoji1593]kupunguza uwezo wa kufikiria
[emoji1593]hupunguza ufanisi wa ufanyaj kazi wa ubongo
 
Hizo dalili mkuu hata usipotumia Ugolo wala Sigara unaweza kuzipata hatuna namna acha tuvute tu
 
Hizo dalili mkuu hata usipotumia Ugolo wala Sigara unaweza kuzipata hatuna namna acha tuvute tu
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji30][emoji87][emoji87]
 
Binadamu sijui tunawaza nn,japo wameandika hatari kwa afya ila Watu hawaiachi
 
.
tapatalk_1580437546869.jpeg


Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom