LA7 JF-Expert Member Joined Aug 26, 2019 Posts 655 Reaction score 2,369 Aug 13, 2024 #1 Jiulize kwanini sio wewe? Wamekufa wema kuliko wewe vijana kuliko wewe watoto kuliko wewe Umenipendelea baba🙏🙏🙏
Jiulize kwanini sio wewe? Wamekufa wema kuliko wewe vijana kuliko wewe watoto kuliko wewe Umenipendelea baba🙏🙏🙏
The Icebreaker JF-Expert Member Joined Feb 11, 2018 Posts 22,278 Reaction score 65,817 Aug 13, 2024 #2 Bila shaka muda huu utakua umeshiba tayari,ukashushia na kichupa cha togwa na kubugia tumbaku chini ya ulimi, Ndio ukaingia JF na kuanzisha huu uzi.
Bila shaka muda huu utakua umeshiba tayari,ukashushia na kichupa cha togwa na kubugia tumbaku chini ya ulimi, Ndio ukaingia JF na kuanzisha huu uzi.