Toka Waarabu waanze kujiingiza kwenye mpira Soka limeanza kupoteza ladha

Waarabu wana lengo tofauti kuliko tujuavyo. Sio mpira ni projects behind the scene.
 
Kombe la dunia 1998 kipa Bora alikua kipa wa Saudi Arabia,nchi zingine za kiarabu zilizoshiriki ni Tunisia na Morocco
 
Mimi ninavyoona hao waarabu wameupiga mwingi mno.
1. Kwanza wameleta ushindani Ulaya sio kukariri tu Man U na Liver kila siku, sasa hivi kuna Newcastle anakuja na Man City anawatimulia vumbi
2. Pili wanaweka uwiano sawa wa Mpira Duniani na sio kila siku kukariri Ulaya. Sasa hivi tunazungumzia na Saudi Arabia.
3. Wanamichezo wengi wametokea katika familia za kimasikini. Wacha Waarabu wawajaze Mihela.
 
Tafuta hela japo upunguze umasikini uliokuzunguka kila kona,chuki zako sana sana zitakuletea vidonda vya tumbo tu na huna hata hela ya kujitibu.
 
Hivi unafahamu football origin yake ni Europe? Maana yake hata wewe ni mvamizi tu wa mchezo wa watu, unaelewa hili? Au wewe ni Native Europian?

Hili Fala limekaza kichwa kuhusu waarabu utadhani mzungu anatokea England kumbe ni Fala mmoja kajifungia kwenye chumba cha kupanga huko mabibo ndani ndani.

Wewe kama mwafrika mweusi tambua kwamba huna chako kwenye mpira wa miguu, ni stranger, ukitaka mchezo wako basi nenda kacheze rede.

Europeans wenye mchezo wao hawana noma na mtu yoyote lakini huyu kapuku mweusi huku Tanzania analialia kama demu.

Chuki za kise**e se**e kmmke.
 
Mpira Ni pesa ...

Watu wametoka africa familia masikini za kutupwa wanaenda ulaya kuvuja Damu na jasho kupata pesa ....

Hizo passion , culture na friendship vinaweza kununua Unga super market ? ,au vinaweza kumsaidia kujenga nyumba nzuri na kusaidia ndugu WA mchezaji ?....

Zaman wachezaji walikuwa wanacheza kunufaisha wamiliki WA team huku wao wakifa masikini,mpaka sasa wengine wanajuta ... ...

Sasa mchezaji hata akishinda CL ,PL kama pesa Hana kuna faida gani ? Mbaya Zaidi atatambulika na jamii kuwa kacheza man U , Liverpool na mpaka Leo anaishi nyumba ya kupanga ,au kashindwa kulipa Kodi ,au Ni masikini WA kutupwa,,,,,huoni wale legend WA man U saizii rashford ndio anawalipia rent waliendekeza ujinga WA passion ,sasa passion imewalipa nin[emoji23]

Saizii wachezaji wamesanuka ,no money no football ,uwanjan watu wanafia kule ,nguvu kubwa inatumika kwenye football ,na ukifika tu 34 years your useless Hakuna MTU wala team itakayokutaka Tena harafu unataka tucheze kijinga Bila pesa et passion ? Yaani wanitumie wao ikifika miaka 30 kiwango kimeshuka wananikataa narudi kulima kijijini maana hio passion na fans base havina uwezo wa kunilisha Zaidi ya kunicheka kuwa nimekuwa mchezaji mkubwa lakin nimekufa masikini,mbaya Zaidi watanitukana kuwa Sina akili [emoji23]

Waaarabu wamekuja kuleta thamani ya mpira ndio maana kina Kante ,mahrez ,Mendy ,Ronaldo wako kule kuvuna pesa ,wanajua kabisa CL Ni ujinga Bila kuwa na pesa mfukoni ,,,,sawa umeisaidia team kuchukua CL umepata like na followers mtandaon then what next kama pesa Sina [emoji23],Si ujinga mtupu ...
 
Wakati hizohizo timu zinazomilikiwa na waarabu ulaya mashabiki wake wanajaa uwanjani full house Kila mechi Hadi za mashindano ya ndondo, kama fans wasingemtaka mwarabu wasingeingia uwanjani...
Hujamwelewa mleta mada
 
Mkristo na chuki wapi na wapi?
Too much wewe angalia mada zao humu eti mtu annanzisha mada anachukia mtu kuvaa hijabu, mwingine anamchukia muarabu kisa anawekeza kwenye mpira , mtu pesa yake wewe unakaa huku unaleta makasiriko kisa tu muarabu, ukitaka kujua wakristo wa tanzania pitia comments zao kwenye mambo ya vita vya israel na hamas , halafu nenda pitia comments za wazungu kwenye channel kama sky news utaona utofauti , wakati wazungu wanaomba vita iishe na kuwe na amani , mkristo wa tanzania anakwambia wasafishwe wote magaidi tu israel haijawahi kupigwa taifa teule aisee
 
Reactions: Cyb
Watch your mouth now!
 
Nikweli mpira umekua pesa sana saiv hata wachezaj ile passion yakufikia had kukunjana uwanjan haipo, zaman akina rooney wanachomwa sindano zamaumivu ili wasikose mechi, timu ilikua kama kanisa, mpira kama dini nawashabik kama waumin... Zaman mchezaj ukihama mashabik wanachoma moto kabisa jezi zako saiv no one cares
 
Unafahamu kuwa timu ya taifa ya Saudi Arabia iliwachapa 8 - 0 Taifa Stars mwaka 1998?

Sasa hiyo mwaka 2000 yako vipi hapo?
 
Mo ni Mtanzania kama wewe

Ile rangi isikuchanganye πŸ˜€

Ficha ujinga wako
Acha ujinga. MO ni mtanzania kwa vibali haimaanishi yeye ni Mwafrika kama mimi, yeye ni muhindi. Wale wamarekani weusi ni wamarekani lakini haimaanishi wao ni wazungu weupe. Wamarekani weusi ni waafrika tu hata wakatae kuitwa hivyo.

Nimetumia simple explanation ways bila shaka tumeelewana hapo.
 
Chuki yako dhidi ya waarabu haitokusaidia sanasana itakuzidishia msongo wa mawazo

Nakushauri achana nao fanya mambo yenye faida kwako

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Katoa maoni yake yenye logic, swa la chuki limetoka wapi au wewe ni mdogo wake faizafox?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…