Tokea awamu hii ianze "wanawake wa Dar tumenyooshwa" tumekuwa zaifu

richaabra

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2016
Posts
1,472
Reaction score
3,511
Mhhh! Yaani mheshimiwa kajua kutunyoosha kwa kweli, sasa hivi ukimpata mwanaume wa kukununulia bia tano bar bila shaka huyo atakuwa ni "kaka jambazi" wanaume wa Dar now wamebanwa wanasema hali ni ngumu, kila sehemu mheshimiwa kabana.

Hao wanaume wa mkoa ndio chefu, sitaki hata kuwasikia maana wao kila awamu huwa wamefulia. Sahivi akina kaka hatuwaletei jeuri, kama enzi zile za JK yani mwanaume bila kuweka laki moja mezani hali mzigo. Lakini sasa hata elfu kumi siachi.

Heheiyaaaaaaaaa[emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108]
 
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
Wewe kwa nini upende kununuliwa bia? Kwan hyo kitu unauza wewe ulinunua? Acha ufox
 
WE DADA UNAKUJA JUU SANA HUMU NDANI POST ZAKO ZINAFURAHISHA KAMA LILIVYO TAKO LAKO KWENYE BOMBA.. INGAWA WENGI WANA WASIWASI NA JINSIA YAKO WENGINE WANASEMA WEWE NI WA KIUME
Heheeeeeeeeee
 
Mlevi katika ubora wako,...afu mwanamke kuwa mlevi haipendezi kbsa...na wa dizain yako unakuwa umejichubua na kuwa rangi nyingi usoni,...pink, nyeusi, shavu jeusi, chini ya jicho kijivu....nk.
Sorry nawaza tu kwa sauti hapa
 
Toba......[emoji87] [emoji87]
Asubuhi yote hii...[emoji15] [emoji15]
 
Vp kale kamsemo kenu eti "laki si pesa " bado kanasikika?
 
Tunaishi kama mashetani na ndio vizuri sana ,hakuna kuchezea hela tena .Kama wanawake walizoea mteremko hakuna tena wanywe viroba tu hakuna namna.
 
usijali mtukufu keshaanza kuja kutuomba msamaha sisi wafanyabiashara wakubwa,alidhani sisi ni watu wa mchezomchezo,soon tutamwaga pesa kwa masikini ili na nyie mzipate.
 
Dah...Hiyo kiuchumi unaweza kusema thamani ya shilingi yetu imepanda......Ndani kwa ndani lakini 🙂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…