Kaka JambaziMhhh! Yaani mheshimiwa kajua kutunyoosha kwa kweli, sasa hivi ukimpata mwanaume wa kukununulia bia tano bar bila shaka huyo atakuwa ni "kaka jambazi" wanaume wa Dar now wamebanwa wanasema hali ni ngumu, kila sehemu mheshimiwa kabana.
Hao wanaume wa mkoa ndio chefu, sitaki hata kuwasikia maana wao kila awamu huwa wamefulia. Sahivi akina kaka hatuwaletei jeuri, kama enzi zile za JK yani mwanaume bila kuweka laki moja mezani hali mzigo. Lakini sasa hata elfu kumi siachi.
Heheiyaaaaaaaaa[emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108]
Kama unataka biere nione nikununulieMhhh! Yaani mheshimiwa kajua kutunyoosha kwa kweli, sasa hivi ukimpata mwanaume wa kukununulia bia tano bar bila shaka huyo atakuwa ni "kaka jambazi" wanaume wa Dar now wamebanwa wanasema hali ni ngumu, kila sehemu mheshimiwa kabana.
Hao wanaume wa mkoa ndio chefu, sitaki hata kuwasikia maana wao kila awamu huwa wamefulia. Sahivi akina kaka hatuwaletei jeuri, kama enzi zile za JK yani mwanaume bila kuweka laki moja mezani hali mzigo. Lakini sasa hata elfu kumi siachi.
Heheiyaaaaaaaaa[emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108]
Hahaaa unawajUa hawa watu wa dizaini hii vizuri sana....mm nikiwaonaga nahisi huruma moyoni..maana sio kitu kidogo mtu ngozi kuwa vileLazima sauti yake iwe nzito na yenye mikwaruzo,
Macho ya yaloiva kwa kukoswa usingizi mara kwa mara.
Huyo halewi asilani hata kama atakunywa hizo tano.
Uso una rangi nyingi na ndevu kiasi kwa sababu ya mikorogo iliyodunda.