Tokea kuanzishwa chuo kikuu cha waislamu Morogoro (MUM) hadi leo kimefanikiwa kuzalisha maprofesa wangapi?

Kile sio chuo ni kituo cha wababaishaji waliokosa muelekeo wa maisha... Ndiyo maana huwezi kukuta mtu mwenye akili ktk ofisi ya umma au binafsi kasoma mmu...💩
 
Kile ni kama msikiti mkubwa tu, hakuna taaluma pale, ukishaxhangsnya dini, na academia, kwa hawa ndugu zetu, hakuna kitu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…