Tokelezea kiafrika na batik nzuri na za kiasili zaidi.

Tokelezea kiafrika na batik nzuri na za kiasili zaidi.

Buhaya boy

Member
Joined
Jun 16, 2013
Posts
88
Reaction score
16
Amani iwe kwenu wana jamvi.Lengo ni kuwajuza kuwa kwa mahitaji ya batik za kisasa za mshumaa na kuchovya kwa bei nafuu.Mawasiliano 0717 539573 au email:stanslausd@yahoo.com
 
weka picha ni muhimu sana dunia ya leo
 
Siku hizi nguo readymade zimekua nyingi, vilevile mafundi wengi wasanii na wanachelewesha. Kuliona hilo watu wamegeukia nguo zilizokwishashonwa. Nakushauri jaribu kumtafuta fundi mzuri akushonee mitindo tofauti mf darizi, vigauni vya wasichana, suti za sketi au suruali. Nguo za watoto nk. Piga picha ulete au upeleke maofisini. Pia ujue msimu wa nguo kuuzwa mf sikukuu na mwisho wa mwezi unazitembeza. Zinazopendwa unarudia kushona na wengine huweka oda. All the best.
 
ubarikiwe kwa ushauri mzuri mm joe na Mungu akubariki kwan tayari anakutumia .
 
Back
Top Bottom