Siku hizi nguo readymade zimekua nyingi, vilevile mafundi wengi wasanii na wanachelewesha. Kuliona hilo watu wamegeukia nguo zilizokwishashonwa. Nakushauri jaribu kumtafuta fundi mzuri akushonee mitindo tofauti mf darizi, vigauni vya wasichana, suti za sketi au suruali. Nguo za watoto nk. Piga picha ulete au upeleke maofisini. Pia ujue msimu wa nguo kuuzwa mf sikukuu na mwisho wa mwezi unazitembeza. Zinazopendwa unarudia kushona na wengine huweka oda. All the best.