Tokeo form six i-3 ngapi???

NingaR

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2012
Posts
2,759
Reaction score
591
wana jf naomba kujua jumla kuna one za tatu ngapi???
 
KWELI MWAKA HUU MAUMIVU 1•3 nne tu
 
Mbona shule za Seminary zimeanza kupungua kwenye kumi bora baada ya Dr.Ndalichako kudhibiti njia shirikishi kwenye mitihani!
 
Ziko nne,..Mbili feza,moja marian,moja minaki

Na majina yao ni haya:-

1. Faith Assenga - Marian
2. Zawadi Mdoe - Feza
3. Belnadino Mgimba - Minaki
4. Jamal Juma - Feza
 
naeza pata wapi full report ya tokeo nijue 1,2,3,4 na 0 ni ngapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…