Tokeo la kidato cha sita Lini?

Acha kisabengo!kwan muda ushafika?
 
Kama kawaida presha zimeanza. BTW hata wakichelewesha bado matokeo yako palepale na watatoa tu. Keep waiting.
 
Tokeo linaweza toka kuanzia tarehe 26aprl hadi 30 kuwa mpole utavuna ulichopanda..
 
wanataka kuchakachua matokeo ya waislamiu..rais na makamu wake ni wakristo ndio wameotoa hii order
 
wanataka kuchakachua matokeo ya waislamiu..rais na makamu wake ni wakristo ndio wameotoa hii order

Mkuu nadhani sijakuelewa, hebu funguka zaidi nami nipate japo mwanga ktk ujumbe wako.
 
Results no matter what 4, r always frustrating! Bt hang on player t will b over soon as t started
 
vijana mbona mkasepa mazima! M2juze sasa mambo yalikuaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…