Tokomeza tatizo la fungus na unyevu unyevu kwenye kuta za nyumba

Tokomeza tatizo la fungus na unyevu unyevu kwenye kuta za nyumba

Frank mtanganyika

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2018
Posts
497
Reaction score
785
Tunatibu na kumaliza kabisa tatizo la fungus kwenye kuta za nyumba na tunakupa garantee hutasikia tena tatizo hilo karibu sana kwa wakazi wa Arusha na Moshi. Tunapatikana Arusha kwa Moromboo.karibu tukuhudumie.

Gracefem co.ltd 0783166050 Kwa ushauri karibu tukushauri nini ufanye kama uko kwenye eneo linalosumbuliwa na fangus tukushauri kabla hujaanza ujenzi.
1599739373737.png
 
Hii shida mbona mikoa mingine sijawahi kuiona? Inasababishwa na kitu gani haswa?

Ni Arusha tu ndiyo nimeona nyumba zimebabuka na hao fungus nyingine ni too much mpaka kichefuchefu kuzitizama.
 
Fungus ni mbaya mnoo inaathiri uimara wa nyumba na muonekano wake kwa ujumla tunatua tatizo hilo kwa njia bora kabisa
FB_IMG_1593430550892.jpg
FB_IMG_1593430553703.jpg
FB_IMG_1593430617389.jpg
FB_IMG_1593430614731.jpg
FB_IMG_1593430644005.jpg
FB_IMG_1593430647411.jpg
 
Hii shida mbona mikoa mingine sijawahi kuiona? Inasababishwa na kitu gani haswa?

Ni Arusha tu ndiyo nmeona nyumba zimebabuka na hao fungus nyingine ni too much mpaka kichefuchefu kuzitizama.
Iko mikoa mingi tu mwanza, mbeya hata dar baadhi ya maeneo mara nyingi chanzo chake ni geographical location ya sehem na material yanayotumika kama mchanga au tofali zinakuwa na asili ya magadi lazima upate tatizo hili ila kuna nzia ya kuavoid tatizo lisitokee ukiwa katika hatua awali kabisa za ujenz hasa kama sehem ni ya magadi sana.
 
Back
Top Bottom