Frank mtanganyika
JF-Expert Member
- Aug 10, 2018
- 497
- 785
Dar tunakuja tukipata wateja wengi wakuja huko ww nyumba yako imeathirika kiasi gani?kwa, Dar vp mkuu?
Iko mikoa mingi tu mwanza, mbeya hata dar baadhi ya maeneo mara nyingi chanzo chake ni geographical location ya sehem na material yanayotumika kama mchanga au tofali zinakuwa na asili ya magadi lazima upate tatizo hili ila kuna nzia ya kuavoid tatizo lisitokee ukiwa katika hatua awali kabisa za ujenz hasa kama sehem ni ya magadi sana.Hii shida mbona mikoa mingine sijawahi kuiona? Inasababishwa na kitu gani haswa?
Ni Arusha tu ndiyo nmeona nyumba zimebabuka na hao fungus nyingine ni too much mpaka kichefuchefu kuzitizama.