Toleo la GTA6 kusogezwa mbele hadi mwaka 2026

Toleo la GTA6 kusogezwa mbele hadi mwaka 2026

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Kama wewe ni Mpenzi wa kucheza GTA na umekuwa ukiisubiria kwa hamu GTAVI ningependa kukwambia kuwa huenda muda wa kutolewa GTA6 ukasogezwa mbele hadi mwaka 2026.

Kwa mujibu wa tovuti mbalimbali sababu inayotajwa kupelekea GTA6 kusogezwa mbele ni matatizo ya Production.

Screenshot_20240323-121955.jpg


✍️Mjanja M1
 
Back
Top Bottom