Wadau nalileta kwenu hili...!
Huyu mtangazaji ana matatizo gani..Maana kwenye kipindi cha magazeti anapenda sana kupotezea habari zinazoiponda Serikali..Mfano leo Hakusoma kabisa habari kubwa kwenye Tanzania daima inayohusu kuanguka kwa JK Pale jangwani...!
Hana Weledi kabisa yaani mi namchukia mno..na kujipendekeza kwake Serikalini ndo kumepelekea kupigwa chini TASWA...!
Mpumbavu lazma aambie upumbavu wake, dawa ya jipu ni kulitumbua...jamii yetu imejaa walamba #"¤&%%%¤ wengi sana...!lazma washughulikiwe kwa njia yoyote ile...!Hivi kila mtu BOGUS na CLOWN tumfungulie thread kweli? Mtu kama anaboa unamu-ignore tu na kuangalia ustaarabu kwingine.