Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
... [emoji3541] π§π¨πͺπππ ππ¨π ππ¨ππ¨π ππ¨ π¦ππͺπ
Clatous Chama kaiacha simba SC sio kwamba Simba SC ndio imemuacha Chama.
[emoji3482] Pre-contact baina ya Chama na Yanga ilisainiwa tangu mwezi Mei na mimi niliuona huo mkataba wa awali ndio maana nilikuwa na UHAKIKA.
Simba SC baada ya kugundua kuwa Chama kasaini Pre-contract na Yanga SC wakaanza kumshawishi asaini mkataba nao.
Hali hiyo iliendelea mpaka June bila mafanikio. Mpaka jana vikao vilikuwa vinaendelea kumshawishi chama asaini mkataba Simba SC.. Muwekezaji wa Simba SC Mo Dewji alikuwa front kumshawishi bila mafanikio.
Ndio maana unaona mpaka sasa Chama hajapewa Thank You na klabu ya Simba. Viongozi wa Simba SC hawaamini kama Chama kaenda Yanga.
Chama alishafanya maamuzi mwezi mmoja nyuma, vikao vya kumshawishi abaki Simba zilikuwa kelele tu kwake.
Credit :Tom Cruz facts [emoji3447]