Hamna noma labda uwe ni moja ya wale watu usiopenda wengine wakufikie kimafanikiowatakuwaje team moja bana!??? HATA HAINOGI
Kaa ndiyo wenye tabia hiyo.Hamna noma labda uwe ni moja ya wale watu usiopenda wengine wakufikie kimafanikio
Hawa madogo wote washaumia magoti, hakuna mpira hapo ulaya, wasubiri mkataba kuvunjwa warudi ligi zao jangwani.
Wamuulize Credo Mwaipopo
acha ushamba, kolo toure, eboue walicheza pamoja arsenal.watakuwaje team moja bana!??? HATA HAINOGI
Hujanielewa mkuu, nashindwa kuelewa ktk muda mfupi wote wameumia, hii inapunguza perfomance yao uwanjani.Mafanikio yako kwenye maisha yako hayaletwi kwa kuwachukia waliofanikiwa bali kwa kujifunza kwa waliofanikiwa.....
Matatizo yako kwenye maisha yako hayasababishwi na waliokuzidi mafanikio bali mtazamo wako dhidi ya waliofanikiwa.....
WABARIKI WENGINE ILI NA WEWE UBARIKIWE
KUNA WATU WALIVUNJIKA KABISA MIGUU NA WAKAPONA NA WAKAENDELEA NA SOKA NA WENGINE WALIKARIBIA KUFA UWANJANI.....
Matatizo ni sehemu ya maisha ya mwanadamu lakini kuyafurahia matatizo ya mwanadamu mwenzako ni zaidi ya ushetani........
MUOMBEE KHERI MWENZAKO ILI KHERI ZIJE KWAKO PIA.......
Mzee mwenzangu hukupepesa macho (vidole ) ila ndio zao tulilonalo la kuchukia wengine unakuta mtu anamchukia mtu ukimuuliza "hivi kwanini unamchukia yule ndugu? jibu lake "aaah sina sababu ya msingi lakini simpendi tu "unabaki mdomo wazi.Mafanikio yako kwenye maisha yako hayaletwi kwa kuwachukia waliofanikiwa bali kwa kujifunza kwa waliofanikiwa.....
Matatizo yako kwenye maisha yako hayasababishwi na waliokuzidi mafanikio bali mtazamo wako dhidi ya waliofanikiwa.....
WABARIKI WENGINE ILI NA WEWE UBARIKIWE
KUNA WATU WALIVUNJIKA KABISA MIGUU NA WAKAPONA NA WAKAENDELEA NA SOKA NA WENGINE WALIKARIBIA KUFA UWANJANI.....
Matatizo ni sehemu ya maisha ya mwanadamu lakini kuyafurahia matatizo ya mwanadamu mwenzako ni zaidi ya ushetani........
MUOMBEE KHERI MWENZAKO ILI KHERI ZIJE KWAKO PIA.......
watakuwaje team moja bana!??? HATA HAINOGI
Hawa madogo wote washaumia magoti, hakuna mpira hapo ulaya, wasubiri mkataba kuvunjwa warudi ligi zao jangwani.
Wamuulize Credo Mwaipopo
Wenzako wanatafuta maisha wewe endelea tu kubeti, huwezi kumpangia MTU maisha yake.watakuwaje team moja bana!??? HATA HAINOGI
Walikuwa wote TP Mazembe pia kama sikoseiacha ushamba, kolo toure, eboue walicheza pamoja arsenal.
Utafananisha matibabu ya Zlatan na Samatta?Cazorla kanyofolewa nyama kwenye mkono na kuwekwa kwenye ankle yake na bado anacheza, Zlatan na Rojo wameumia goti siku chache zijazo wanarudi uwanjani. Matibabu ya wenzetu ni tofauti na sisi.