Mndengereko One
JF-Expert Member
- Apr 26, 2015
- 340
- 243
mkataba moja kwa mojaNi majaribio au ni mkataba kabisa?
ni kweli ila wao bado hawajaleta ofa rasmi ya st Etienne ipo mezaniBesiktas ilikuwa ni uongo?
tunamwombea afanikiwe, lakini akienda huyo ulaya, aache kuburuza mpira kwa muda mrefuuu yeye tu bila kutoa pasi kwa wenzake wafunge. asifikiri ulaya kuna zile lunya lunya lunyaaaaaaaaaaaaaaaaa goooo, kule akifanya hivyo atarudi kama mrisho ngasa. hii ndio tofauti yake na samata ambaye mpiga anaupiga vizuri na anajua kutoa pasi.tomas ulimwengu amepata ofa ya kwenda kuchezea ligi ya ufaransa kwenye timu ya st Etienne inayoshika nafasi ya sita
tumwombeeni afanikiwe
tunamwombea afanikiwe, lakini akienda huyo ulaya, aache kuburuza mpira kwa muda mrefuuu yeye tu bila kutoa pasi kwa wenzake wafunge. asifikiri ulaya kuna zile lunya lunya lunyaaaaaaaaaaaaaaaaa goooo, kule akifanya hivyo atarudi kama mrisho ngasa. hii ndio tofauti yake na samata ambaye mpiga anaupiga vizuri na anajua kutoa pasi.
mpira wa aina hiyo miaka hii na kwa style za ulaya nakuhakikishia hatafika mbali. huo ni mpira wa kutumia nguvu, sio kutumia akili. namtakia yote mema kwa maslahi ya nchi yetu, lakini namsihi afungashe na kutoa pasi vilevile.Hizo lunyaaaaaa ndo zimemfanya aonekane! Ni trademark yake kufungasha matela na kuvuta kijiji.
kama iniesta vile, anakusanza kijiji messi anakuwa peke yake, akitoa pasi moja tu ya mwisho messi anafanya manuvaHizo lunyaaaaaa ndo zimemfanya aonekane! Ni trademark yake kufungasha matela na kuvuta kijiji.
Mkuu ebu tuombe msamaha sisi ma-GT wa JF, yaani unamlinganisha uncle Ngasa na Ulimwengu kweli?tunamwombea afanikiwe, lakini akienda huyo ulaya, aache kuburuza mpira kwa muda mrefuuu yeye tu bila kutoa pasi kwa wenzake wafunge. asifikiri ulaya kuna zile lunya lunya lunyaaaaaaaaaaaaaaaaa goooo, kule akifanya hivyo atarudi kama mrisho ngasa. hii ndio tofauti yake na samata ambaye mpiga anaupiga vizuri na anajua kutoa pasi.
hahaha, ngasa, kwakweli ulimi umeteleza, naombeni msahama. hasa nilipoona ile movie yake na mdogo wa flora akilala style moja tu ili awaonyeshe watu kwamba anajua kufanya ngono, nilimwona kumbe ni mjinga angeenda ulaya angetuaibisha sana. ulimwengi ni bora zaidi, kwa nguvu za kutawala mpira, kwa urefu/kimbo nacho watu wa ulaya wanakizingatia sana, na heshima pia. atafika mbali, ila ili namba yake idumu huko ulaya, yampasa aongeze akili na sio nguvu.Mkuu ebu tuombe msamaha sisi ma-GT wa JF, yaani unamlinganisha uncle Ngasa na Ulimwengu kweli?
Omba radhi tafadhali
Siyo kweli anakwenda kwa majaribio kwanza.mkataba moja kwa moja
uturuki ndo walimtaka kwa majaribio ila ufaransa moja kwa mojaSiyo kweli anakwenda kwa majaribio kwanza.
Siyo kweli anakwenda kwa majaribio kwanza.
uturuki ndo walimtaka kwa majaribio ila ufaransa moja kwa moja
@Rogie, sasa kweli wewe unamwamini @Simiyu Yetu?Sasa hapa nani mkweli?
Haha katika hili anaweza kuwa ana ukweli kiasi pengine.
...weka source ya habari yako,wacha kupigisha watu story..!!tomas ulimwengu amepata ofa ya kwenda kuchezea ligi ya ufaransa kwenye timu ya st Etienne inayoshika nafasi ya sita
tumwombeeni afanikiwe
Ktunamwombea afanikiwe, lakini akienda huyo ulaya, aache kuburuza mpira kwa muda mrefuuu yeye tu bila kutoa pasi kwa wenzake wafunge. asifikiri ulaya kuna zile lunya lunya lunyaaaaaaaaaaaaaaaaa goooo, kule akifanya hivyo atarudi kama mrisho ngasa. hii ndio tofauti yake na samata ambaye mpiga anaupiga vizuri na anajua kutoa pasi.