Tomasi Ulimwengu afanyiwa upasuaji, sasa nje ya uwanja hadi Januari

Tomasi Ulimwengu afanyiwa upasuaji, sasa nje ya uwanja hadi Januari

kirerenya

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2013
Posts
1,696
Reaction score
2,253
ulimwengu.jpg

Thomas Ulimwengu atakaa nje ya uwanja hadi Januari, mwakani.

Hii ni baada ya kufanyiwa upasuaji wa goti na mshambulizi huyu wa AFC ya Sweden, tayari ameanza kupata nafuu.
Allah amsaidie apone haraka, arejee kazini

Habari kwa hisani ya Salehe Jembe
 
Back
Top Bottom