K kirerenya JF-Expert Member Joined Aug 27, 2013 Posts 1,696 Reaction score 2,253 Aug 2, 2017 #1 Thomas Ulimwengu atakaa nje ya uwanja hadi Januari, mwakani. Hii ni baada ya kufanyiwa upasuaji wa goti na mshambulizi huyu wa AFC ya Sweden, tayari ameanza kupata nafuu. Allah amsaidie apone haraka, arejee kazini Habari kwa hisani ya Salehe Jembe
Thomas Ulimwengu atakaa nje ya uwanja hadi Januari, mwakani. Hii ni baada ya kufanyiwa upasuaji wa goti na mshambulizi huyu wa AFC ya Sweden, tayari ameanza kupata nafuu. Allah amsaidie apone haraka, arejee kazini Habari kwa hisani ya Salehe Jembe
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,474 Reaction score 125,866 Aug 2, 2017 #2 Pole yake
M Mtanzania Mzawa JF-Expert Member Joined Jul 2, 2017 Posts 401 Reaction score 405 Aug 2, 2017 #3 Pole yake namuombea Mwenyenzi Mungu ampe Uponyaji
Shindu Namwaka JF-Expert Member Joined Sep 22, 2014 Posts 4,911 Reaction score 3,083 Aug 3, 2017 #4 Pole yake