K Kalila JF-Expert Member Joined Sep 10, 2010 Posts 245 Reaction score 58 Sep 13, 2011 #1 Hivi jamani hizi tomato zinazowekwa kwenye vidumu huku uswahilini then hazina brand yoyote zinatengenezwa na nini na pia ni salama kwa mlaji kweli TFDA sijawasikia
Hivi jamani hizi tomato zinazowekwa kwenye vidumu huku uswahilini then hazina brand yoyote zinatengenezwa na nini na pia ni salama kwa mlaji kweli TFDA sijawasikia
Evarm JF-Expert Member Joined Aug 30, 2010 Posts 1,994 Reaction score 1,540 Sep 18, 2011 #2 Hizo ni nyanya zilizooza wanazisaga na kuweka kwenye chupa, pole kwa watumiaji.