Mhafidhina07 JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 3,340 Reaction score 4,659 Sep 29, 2016 #1 habari wadau kesho nimesikia kuwa SAUT wanatoa matokeo sijui kama kuna mtu anataarifa kamili kwa mwenye ndugu pale?
habari wadau kesho nimesikia kuwa SAUT wanatoa matokeo sijui kama kuna mtu anataarifa kamili kwa mwenye ndugu pale?
nchimbie Senior Member Joined Apr 19, 2015 Posts 174 Reaction score 63 Sep 29, 2016 #2 Matokeo ya gan? UE au ni majina ya kujiunga 1st year?
G GOD 66 JF-Expert Member Joined Sep 3, 2015 Posts 628 Reaction score 270 Sep 29, 2016 #3 saut habar nyingine jumatatu......
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,197 Reaction score 128,160 Sep 29, 2016 #4 Nilijua Saut Sol wanaachia nyimbo mpya kesho
haloo JF-Expert Member Joined Aug 19, 2016 Posts 569 Reaction score 217 Sep 29, 2016 #5 Sasa habari za Sauti humu kwenye jukwaaa zinakujaje?
florian michael Member Joined Jul 11, 2016 Posts 96 Reaction score 53 Sep 29, 2016 #6 Tulia utoe habar ya kueleweka sio unatoa tetes izo zpo nyng usiwe mswahili,,,
the hunterer Senior Member Joined Jul 15, 2014 Posts 145 Reaction score 38 Sep 29, 2016 #7 Daudi Mchambuzi said: Nilijua Saut Sol wanaachia nyimbo mpya kesho Click to expand... Hahahaa,, incase mwenye thread ana bastola mkiwa karibu angekulipua ya kichwa ndugu,
Daudi Mchambuzi said: Nilijua Saut Sol wanaachia nyimbo mpya kesho Click to expand... Hahahaa,, incase mwenye thread ana bastola mkiwa karibu angekulipua ya kichwa ndugu,