Tommy Flavour mtunzi nguli wa nyimbo Tanzania

Tommy Flavour mtunzi nguli wa nyimbo Tanzania

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
24,941
Reaction score
28,869
February 18, 2019
Dar es Salaam, Tanzania

Katika tasnia ya muziki Tanzania haina utamaduni wa kuwatambua waandishi / watunzi / waandaji / producer wa nyimbo kama ilivyo USA / Ulaya mfano Marekani alipo Quincy Jones : roles of composer, artist, arranger, conductor, instrumentalist, record company executive...source :Home - Quincy Jones n.k

Aliyemwandikia Ommy Dimpoz aingiza pesa ndefu toka kwa mastaa Tanzania & Kenya
Source : millard ayo

Hata hivyo hali hiyo inaanza kubadilika na mtunzi / mtayarishaji kama Tommy Flavour au Barnaba Classic karama zao za uandishi wa nyimbo umeanza kuwaingizia si pesa tu bali hata nafasi ya kutambulika rasmi ktk tasnia ya muziki.

Source : Tommy Flavour
 
Back
Top Bottom