Tone tone ya Chadema imekwama? Na vipi ile ya CHAUMMA?

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
51,453
Reaction score
41,274
Hii ni fedheha kwa uongozi wa kitaifa wa chadema. Ingekua ni Ulaya wanapaswa kujiuzulu.
Ni wazi chama kimewashinda.

Swali ni je, hivi ni kweli viongozi wa chadema taifa wameshindwa kabisa kuhamasisha wana chadema kuchangia milioni 334 tu? Au hawakubaliki wala hawaheshimiwi tena na wanachama wao?๐Ÿ’

Mungu Ibariki Tanzania

 
Ndio wanajiita Wakombozi
wa nch๐Ÿ‘ˆ

i na wenyewe hawataki Watanzania tujielekeza kwenye muziki na football
Lkn tujielekeza kujaza pesa
lile Box ๐ŸซŽ๐ŸซŽ
 
Ndio wanajiita Wakombozi
wa nch๐Ÿ‘ˆ

i na wenyewe hawataki Watanzania tujielekeza kwenye muziki na football
Lkn tujielekeza kujaza pesa
lile Box ๐ŸซŽ๐ŸซŽ
wakombozi wameshindwa kujikomboa kiuchumi.

ni wazi milioni mia334 imewashinda kabisa kuikusanya kutoka kwa wanachama wake yenyewe ๐Ÿ’
 
CHADEMA wamegoma kuchukuliwa kama Manyumbu huku akina heche wakiendelea kunenepa Mashavu kwa pesa zao wenyewe wana CHADEMA
 
CHADEMA wamegoma kuchukuliwa kama Manyumbu huku akina heche wakiendelea kunenepa Mashavu kwa pesa zao wenyewe wana CHADEMA
inasikitisha sana na kwakweli inafedhehesha sana wanachama wa chadema kugoma kabisa kuchangia pesa kwaajili ya chama chao
 
CHADEMA wamegoma kuchukuliwa kama Manyumbu huku akina heche wakiendelea kunenepa Mashavu kwa pesa zao wenyewe wana CHADEMA

Heche janja janja sana hakiongea na Vyombo vya habari utumia mbinu ya kukunja Uso wake kuwatisha wakosoaji
wake kuusu pesa ๐Ÿค ๐Ÿค ๐Ÿค 
 
Wizi wa Heche umeshindwa mpema sana Watanzania sio wajinga

USSR
 
Zilishatimia na viongozi wa juu Tumegawana tayari mgao ulikua 30m safari hii
 
Wizi wa Heche umeshindwa mpema sana Watanzania sio wajinga

USSR
kiukweli ni fedheha mno,
yaani miloni 334 zimewashinda kuzichanga kwa miezi mi3?

ufisadi wa heche umekua gundu baya sana ndani ya chadema ๐Ÿ’
 
Mambo ya ku log in and out jitu moja linapambania buku 7
 
Mambo ya ku log in and out jitu moja linapambania buku 7
halafu ambao hamjachanga hata buku tu tone tone mnakuaga na viherehere kweli kumbwelambwela jukwaani,

hivi hua ni kwanini gentleman?๐Ÿ’
 
Point gani kwenye madudu yenu ๐Ÿšฎ
yaani hujachanga hata buku tu kwenye kampeni ya tone tone tangu ianze ni mwezi wa tatu huu, lakini una mdomo kweli jukwaani, dah!๐Ÿ’
 
yaani hujachanga hata buku tu kwenye kampeni ya tone tone tangu ianze ni mwezi wa tatu huu, lakini una mdomo kweli jukwaani, dah!๐Ÿ’
Nimechanga laki 3 unafkiri mimi
mpaka nikusanye buku 7 kama wewe๐Ÿ˜Ž

Pambanieni kombe lenu huko!

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ