Tone tone ya Chadema imekwama? Na vipi ile ya CHAUMMA?

halafu ambao hamjachanga hata buku tu tone tone mnakuaga na viherehere kweli kumbwelambwela jukwaani,

hivi hua ni kwanini gentleman?πŸ’
Sikiliza wewe binti umenipa hasira ya kuchanga sasa hivi
 

Attachments

  • IMG_20260823_174527.jpg
    47.8 KB · Views: 10
Sikiliza wewe binti umenipa hasira ya kuchanga sasa hivi
we dada,
hasira za kinyumbu kama hizo ndizo zinapelekea milioni 334 zisifikiwe tangu kampeni hiyo kuanza miezi mitatu iliyopita,

ndiyo,
ufisadi wa heche umechangia pakubwa kudhoofisha uchangiaji, but mihemko ya aina hiyo ni sababu pia ya kuzorotesha tone tone.

Yaani kwa mihemko useless kama hiyo jukwaani unachangia buku tu na wewe ni dada?
hii ni maajabu?πŸ’
 
None sense
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…