Toni Braxton, Adhabu ya Mungu kwa kutoa mimba

yani nimeshindwa kumuelewa,sijui ni kidhungu au hajui kujieleza huyo mmama!!!
 


Mkuu Hyusuph, hi gauni ilivaliwa na Toni Braxton kwenye Grammy Awards ya 2001.

Na hii ndio picha yake ya sasa hivi:

Ahaaa Kweli bwana pale naona pale alikuwa kijana na iyo ya chini amezeeka bwana uso umekuwa mnene kwelii
 
Ukiongea au kusoma kingereza lazima mishipa ikutoke kichwani.

fafanua mana umenitisha mana nasomea LINGUISTIC MAMBO YA PHONETICS,SOCIOL BIOLOGICAL....YAANI ENGLISH..SASA MISHIPA INAKUJAJE?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…