Tony Rashid arudisha heshima ya Tz dhidi ya msauzi Bongani Mahlangu

Tony Rashid arudisha heshima ya Tz dhidi ya msauzi Bongani Mahlangu

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Bondia wa Tanzania, Tony Rashid alipigwa na Bongani Mahlangu (Profesa) mwaka jana na kuporwa mkanda. Leo Februari 25, Tony Rashid ameomba pambano la marudiano ili arudishe heshima...

Nini kitatokea, subscribe kwa huu uzi
1.jpg


Mapambano ya Utangulizi

Ramadhani Kondo Vs Isaya Ally
Feather welter weight
Rounds 6
Winner: Isaya Ally

Iddi Pazi Vs Ally Chuma
Round 4
Winner, Iddi Pazi

Fredy Kobelo Vs Baraka Patrick
Winner: Baraka Patrick, KO

Abeid Zugo Vs Mustafa Dotto
Rounds: 6
Winner: Abeid Zugo

Mbaraka Mtangi Vs Juma Bilo
Winner:
 
Bado muda mfupi tu taifa liingie kwenye aibu ya kujitakia kwa mara nyingine tena, simuoni kabisa Tonny kuchomoza na ushindi
 
Watanzania ni watu wa hovyo katika dunia hii! Big up tony wewe ni fighter na umestahili kuwa msindi leo
 
Back
Top Bottom