Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Ndo yule ambaye akipigwa familia nzima wanalia?Bondia wa Tanzania, Tony Rashid alipigwa na Bongani Mahlangu (Profesa) mwaka jana na kuporwa mkanda. Leo Februari 25, Tony Rashid ameomba pambano la marudiano ili arudishe heshima...
Nini kitatokea, subscribe kwa huu uzi
View attachment 2130985
[emoji1787]Ndo yule ambaye akipigwa familia nzima wanalia?
AzamSports wapo LIVEMchezo saa ngapi? Wapi wataonyesha
Asante sana mkuu ngoja nifuatilieAzamSports wapo LIVE
Kwa kweli ,mpaka sasa pambano bado ni gumu sana.Bado muda mfupi tu taifa liingie kwenye aibu ya kujitakia kwa mara nyingine tena, simuoni kabisa Tonny kuchomoza na ushindi
Huu muda wote Bora ningeangalia Vita vya Urusi Aljazeera.Eti tony kashinda... Daaah! Bora ningelala lakini sio us*nge huu
Subiri matokeo ndio uone marefa wa ngumi bongo wasivyo na aibu
hahahaha.wamefanyaje mbn km watu hawakubali hvSubiri matokeo ndio uone marefa wa ngumi bongo wasivyo na aibu
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Watanzania ni watu wa hovyo katika dunia hii! Big up tony wewe ni fighter na umestahili kuwa msindi leo