Hi! jf members hope mpo pouwaaa! Mimi na mdogo wangu jamani hawezi kula chakula chochote bila kunywa soda, yani i mean kila anapomaliza kula chakula lazima anywe na soda, kwa cku anaweza kunywa hata soda tatu, yani haiwezekani ipite cku hajanywa soda, jamani wakuu mnishauri nahic kama anaweza kupata labda kisukari, niambie wakubwa.