Toothgel

Toothgel

kau

Member
Joined
Dec 21, 2011
Posts
80
Reaction score
16
A6oljYNobZmCAAAAAElFTkSuQmCC





A6oljYNobZmCAAAAAElFTkSuQmCC



.Ni dawa ya meno nzuri itokanayo na Aloe Vera na Bee Propolis(Antiobiotic Asilia)
.Inaponyesha kutoka damu wakati wa kupiga mswaki, pia inaponyesha vidonda mdomoni na pia unaweza ukaipaka kwenye vidonda

· Haikwangui meno hivyo kuyaacha meno na ngao yake ya nje imara

· Inasaidia katika mmengenyo wa chakula endapo utameza

· Inasafisha vizuri fizi hivyo inaacha kinywa kikiwa safi na salama



Naomba unijuze ukiwa unahitaji.
 
Mimi nilifikiri mtu anataka ushauri juu ya afya! sikuwa najua kumbe hata matangazo yanapostiwa hapa?,ila kwenye medical huwa hakuna matangazo huduma yako inajitangaza lo! kazi kwelikweli.
 
Back
Top Bottom