Freelancer Wakala
JF-Expert Member
- Feb 6, 2016
- 1,193
- 828
Huyo ni zaidi ya legendHuyu jamaa sasa na yeye inabidi awekwe kwenye list ya malegend wa bongofleva,
Tena waambie kuwa mziki wako ni Mkubwa kuliko tunzo[emoji23][emoji23]"mi nilishashinda kama hiyo mwaka juziiiii...ila sitakagi showofff!"
"ujanja ujanja tu wa kununua tuzo"Tena waambie kuwa mziki wako ni Mkubwa kuliko tunzo[emoji23][emoji23]
Kama ip mkubwaSiku hizi Diamond kuchukua tuzo au kupiga show nje siyo Habari ya kusisisimua tena ishazoeleka,DIAMOND APEWE HESHIMA YAKE INAYOSTAHILI.
Sasa Diamond ndo mkubwa zaidi ya tuzo,tuzo za Afrika ashachukua zote za muhimu,kabeba MTV EMA Europe na international, Kaitwa BET mara mbili,BADO NINI SASA,DIAMOND NI NEMBO YA TAIFA.Kama ip mkubwa