Top 10 football players of all time

Ukijua kuvitofautisha hivi vitu;
Man of the match
Player of the week
Player of the month
Best player of the year
Best player of all time.

Utapata jibu la swali lako..
 

Nilichogundua hujamfuatilia Weah kabis wala usingelinganisha na Kaka au DE lema asee haupo serius kaka
Mes bado sana mzee hebu tafuta mtu anaitwa garincha
Tuache mahaba au ushabiki usio na tija kabisa tuweke vitu katika uwazi na ukweli,yaezekana hujawashuhudia hao watu ila zaidi unajaji kwa uyaonayo sasa

Hata maradona alistahili kumenyana na pele pale juu sio huyo messi au Ronaldo japo wanafanya mazuri mengi ila umeweka wakongwe basi wape heshima yao.
 
Sijawah fuata updates za mchambuzi wa kibongo mm,na wala sitafanyaga hivyo....hata nikileta source vilevile tu mtabaki na misimamo yenu...kubali,goma yote sawa tu..

Yupo sahihi japo naona umemkwepa kisomi kumjibu,
Shaffii katolea mfano tu,
Mara ya mwisho ilikuwa 1999 kwa sasa sijasikia au kuona popote wajuvi wa mambo wamekaa na kutoa list ya wachezaji wa muda wote.

Any way sio mbaya maana kila mmoja anamaono yake
 
Hakuna asiyemjua Garincha gwiji wa kibrazil....mpira anaujua na anaujua kwelikweli...sasa swali kwani ambao hawajamweka hapo hawamjui ama??? au wamemsahau au wamemkaushia??? Nilichogundua mabao ya watu ya YouTube yanawadanganya mno...
 
mwenzangu mpaka nilete hapa jukwaani nimetoa kwenye chanzo cha kuaminika..sijakurupuka..
 
Hakuna asiyemjua Garincha gwiji wa kibrazil....mpira anaujua na anaujua kwelikweli...sasa swali kwani ambao hawajamweka hapo hawamjui ama??? au wamemsahau au wamemkaushia??? Nilichogundua mabao ya watu ya YouTube yanawadanganya mno...
Kaka hapo utanikosea,
Garincha,didi,zeco nimewaona wakicheza mpira uwanjani,wingali bado wanajua soka la ushindani uwanjani.
Nimemuona weah,nimeanza kuangalia mpira tangu miaka ya themanini,tukiwa tunakusanyika kwenye nyumba moja kijiji kizima na kingilio kule kwetu uwe mkubwa au mdogo ilikuwa ni kopo la pombe ya kienyeji

Mzee utanikosea sana,hata youtube huwa Sina muda wa kuangalia nani kafanyaje,kifupi sinaga muda wa kwenda youtube.

So naomba tuishie hapa maana mbeleni waeza nivunjia heshima bure!?
 
OK
 

usiseme watakuhamakia.

Kwa mtu aliewahi muona Zico akicheza soka amebahitika sana.
 
The Top ten of footballers of all time
1.Edson De Nascimento (Pele)
2.Diego A.Maradona
3.Leonel Messi
4Cristiano Ronaldo
5.Alfredo Di Stefano
6.Gerd Mueller
7.Eusebio
8.Ronaldinho
9.Zinedine Zidane
10.David Degea
Hii ya Degea umekoleza tu, nashauri hii list
  1. Edson De Nascimento (Pele) -Brazil
  2. Leonel Messi -Argentina
  3. Diego A.Maradona -Argentina
  4. Frenc Puskas -Hungary
  5. Eusébio da Silva Ferreira -Portugal
  6. Gerd Mueller -German
  7. Cristiano Ronaldo -Portugal
  8. Alfredo Di Stefano -Argentina
  9. Arthur Antunes Coimbra -Zico -Brazil
  10. Zinedine Zidane -France
 
Kwa ishirini bora ningeshauri hii list
  1. Edson De Nascimento (Pele) -Brazil
  2. Leonel Messi -Argentina
  3. Diego A.Maradona -Argentina
  4. Frenc Puskas -Hungary
  5. Eusébio da Silva Ferreira -Portugal
  6. Gerd Mueller -German
  7. Cristiano Ronaldo -Portugal
  8. Alfredo Di Stefano -Argentina
  9. Arthur Antunes Coimbra -Zico -Brazil
  10. Zinedine Zidane -France
  11. Romário de Souza Faria -Brazil
  12. Ronaldo Luís Nazário de Lima -Brazil
  13. Marco van Basten -The Neatherlands
  14. Johan Cruyff -The Neatherlands
  15. Michael Platini -France
  16. Andriy Shevchenko -Russia
  17. Thiery Henry -France
  18. George Best -Northern Ireland
  19. Samuel Etoo - Cameroon
  20. Manuel Francisco dos Santos -Brazil
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…