Top 10 Gold digger pranks 2017

Top 10 Gold digger pranks 2017

Hahhha am done with Bongolians. Wakiweka mandishi weka ka picha. Sasa ameweka picha weka maadishi. [emoji137][emoji137][emoji137]
 
Hizi pranks kwanini wabongo hawafanyi hapa.? Yani zinafurahisha mno sjui kwanini hawagusi.. Walikuwepo vuvuzela comedy clouds tv na segment ya imekubamba ambayo ni PRANK baada ya show kufa na pranks zikapotea ghafla. Kenya wana ile NASWA
 
Hizi pranks kwanini wabongo hawafanyi hapa.? Yani zinafurahisha mno sjui kwanini hawagusi.. Walikuwepo vuvuzela comedy clouds tv na segment ya imekubamba ambayo ni PRANK baada ya kufa na pranks zikapotea ghafla.
Mkuu labda tuanzishe sisi,
 
Back
Top Bottom