Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao wazee nao
Nilijua Michael Jordan ataongoza ila sikudhani kama Schumacher atakuwa top ten. Jamaa alikuwa mwamba wa F1 ila sasa bado yuko kitandani baada ya ajari aliyopata akiwa hiking. Mwanae kaanza F1 mwaka huu, anakuwa mtu wa tatu kwenye ukoo wa Schumacher kushiriki F1
MJ hakuwa na misifa ya ajabu kama kina MC Hammer au Mike TysonMatangazo ya makampuni mbali mbali za biashara na pia mkataba wake na NIKE umemnyanyua sana MJ.