Nilijua Michael Jordan ataongoza ila sikudhani kama Schumacher atakuwa top ten. Jamaa alikuwa mwamba wa F1 ila sasa bado yuko kitandani baada ya ajari aliyopata akiwa hiking. Mwanae kaanza F1 mwaka huu, anakuwa mtu wa tatu kwenye ukoo wa Schumacher kushiriki F1