hooligan01
JF-Expert Member
- Nov 21, 2013
- 664
- 539
#9) Denzel Washington
Denzel Washington is one of the most well-known actors in Hollywood. He has won a Tony Award, 2 Golden Globes, and 2 Oscars. His earnings of $33 million rank him 9th on the list of Hollywoods top earners.
#1) Robert Downey Jr.
Robert Downey Jr. is best known for his roles in Iron Man and Sherlock Holmes and has worked on 6 movies that have grossed over $500 million at the box offices. With annual earnings reaching upwards of $75 million, Downey Jr. tops our list of Hollywoods highest paid actors.
amewahi kuwa fundi ujenzi huko kwao.laifu gani ww acha utan
amewahi kuwa fundi ujenzi huko kwao.
sijamuona john depp
Ametisha kwenye "White House Down"
Hollywood hovyo sana. Hawaangalii gender issues kabisa.
irene uwoya , wema sepetu , jackline wolper n aunty ezekeiel ndo wanadai wanalipwa pesa nyingi kuanzia m3 had 5. Kwa mujibu wao
mjinga ana matusi sana kwenye departed, wako ni di caprio na matt damon ni bonge la movie. pia kwenye 2guns na denzel.
kwenye hiyo wanacolabo nzuri sana na jonah hill. wanatoa ya chuoni mwaka huu. umemcheki kwenye this is the end?uyu mshkaj hamna muv kaekti ikawa mbaya nmemkubali zaid ktk muvi ya "21 jump street"
kwenye hiyo wanacolabo nzuri sana na jonah hill. wanatoa ya chuoni mwaka huu. umemcheki kwenye this is the end?
kwenye hiyo wanacolabo nzuri sana na jonah hill. wanatoa ya chuoni mwaka huu. umemcheki kwenye this is the end?
Ametisha kwenye "White House Down"
mjinga ana matusi sana kwenye departed, wako ni di caprio na matt damon ni bonge la movie. pia kwenye 2guns na denzel.
Check Out Hollywood's Top Earning Actors! kwa wale ambao kikristo hakipandi,hawa ndio waigizaji kumi bora wanaolipwa pesa nzuri hollywood
.
#10) Liam Neeson
With his action packed thrillers, Neeson is expected to make around $32 million a year. His key is to play in low-budget, high-return such as ‘Taken' or this year's Oscar-winning film ‘Schindlers List'
Steve Nyerere no 1Top 10 highest paid bongo movies please...