Adekilekuni feyifoluwa faramade,
Anitha kofoworade mogbadunola,
Michael oluwatemilorun omokeyede,
Temidayo ifeade enkudayo
Doreen botiwunolowa ayetunde,
Akinrinnola olabukunola olatunbosun,
Daaah kitambo sana miaka ya 2013 nikiwa katika shule ya MEADOW HALL SCHOOL, lekki, Lagos Nigeria.
Hii shule ina mchanganyiko wa wanafunzi mbali mbali kutoka mataifa mbali mbali,
Nakumbuka watanzania walikuwa watatu, na mm wa ni wanne.
Hao niliowataja ni moja katika wa class mates niliosoma nao,
Haswa doreen botiwunolowa ayetunde, alikuwa demu wangu, aisee wanaija nao watamu kwa michezo ya jogoo.......